Aliyekuwa Mkurugenzi Iguwasa kizimbani kwa uhujumu uchumi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imempandisha kizimbani aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Igunga (Iguwasa), Hussein Nyemba (34) akikabiliwa...